WINPRINCESS TANZANIA

WinPrincess Rating
97 / 100
Website
95%
Games
99%
Bonus
97%
Security
100%
App
94%
1
Bonus
Welcome Bonus
Amount
%100 UP TO Tsh 100,000
Bonus amount must be wagered 10 times in accumulator bets. Each accumulator bet must contain at least 2 events within each accumulator must have odds of 1.50 or higher. Start dates of all events should not be later than the validity period of this offer.

WINPRINCESS TANZANIA

WinPrincess kwa sasa ndio tovuti bora zaidi ya kubashiri michezo na kasino mtandaoni inayopatikana Tanzania. WinPrincess inamilikiwa na kampuni inayoongoza katika tasnia ya michezo ya kubahatisha Princess International ambayo inatambuliwa ulimwenguni kote kwa huduma zake za uchezeshaji bora wa kamari. Kampuni ilianza shughuli zake katikati ya mwaka 2020 na katika kipindi kifupi imeshika soko la kubashiri michezo mtandaoni nchini Tanzania kwa kutoa michezo ya kubahatisha ya kipekee na burudani za kasino mtandaoni kwa wateja wake. 


Jinsi ya Kujisajili na WinPrincess

Mchakato wa usajili huko WinPrincess ni haraka na rahisi. Kuanza kujisajili wachezaji wanahitaji kufungua tovuti yao rasmi winprincess.co.tz na utaona sehemu iliyoandikwa REGISTER. Utalazimika kuingiza nambari yako ya simu, nenosiri na kukubali kuwa na miaka zaidi ya  ’18’ na ukubali vigezo na masharti ya kubashiri michezo na kasino mtandaoni ya WinPrincess.  Nambari ya uhakiki itatumwa kwenye nambari yako ya simu kupitia SMS na utaijaza kwenye sehemu iliyoandikwa “NAMBARI YA UHAKIKI”. Sasa unaweza kumaliza mchakato wako wa kujisajili kwa kubonyeza kwenye JISAJILI na kuanza kuweka beti zako.


Michezo Ipi Inatolewa na WinPrincess.co.tz?

Moja ya faida kubwa ya kubshiri na tovuti hii ya michezo ni uteuzi mkubwa wa michezo ya kubashiri. Bashiri kwenye Mpira wa Miguu, Mpira wa Kikapu, Tennis, Table Tennis, Cricket, Ice Hockey, Golf, Rugby, Baseball, Volleyball, Darts, MMA, Michezo ya Kielektroniki, E-sports na zaidi. Mwendeshaji wa tovuti hutoa mechi za kitaifa na za kimataifa kwa michezo ya awali na live pia. Wapenzi wa mpira wa bara la Ulaya wana uwezo wa kubashiri kwenye mechi zote kubwa zinazojulikana duniani, kutoka Ligi ya Primia ya Uingereza hadi La Liga ya Uhispania, Bundesliga na Serie A ya Italia, pia wanaweza kubashiri kwenye ligi za amateur kama ligi ya amateur ya Uturuki na zingine.

Wachezaji wamejaziwa chaguzi nyingi za kubashiri katika matukio yote ya michezo na mashindano kama vile: 

 • Timu gani itafunga goli
 • Njia 3
 • Double chances
 • Cleansheets
 • Handicaps
 • Over / Under
 • Matokeo Halisi
 • Kona   
 • Nusu Kipindi / Mechi nzima nk.  

Kwa kuongezea, matukio yote na mashindano ya WinPrincess yanatolewa kwa odds kubwa kulinganisha na waendeshaji wengine wa michezo ya kubashiri Tanzania. 

Faida nyingine ya mwendeshaji wa tovuti hii ni kwamba wachezaji wanaweza pia kujaribu bahati yao kwenye michezo ya kasino inayotolewa na mwendeshaji. WinPrincess hutoa idadi kubwa ya michezo ya kasino mtandaoni kama slots, michezo ya mezani kama (roulette, baccarat, blackjack, poker) nk, michezo yote ya kasino mtandaoni inakuja na picha za kuvutia na muundo bora kama vile kucheza kwenye kasino ya ardhini. WinPrincess ni tovuti yenye kila kitu kwa mahitaji yako yote ya kamari mtandaoni.


Kubashiri Live na WinPrincess

Kutoa chaguo la kubashiri michezo imekuwa ikitolewa na waendeshaji wengi wa tovuti za michezo mtandaoni nchini Tanzania na WinPrincess ni moja kati ya watoaji chaguzi bora za kubashiri michezo live pamoja na chaguo la utiririshaji wa matangazo ya moja kwa moja kwa wateja wake. Mwendeshaji huyu anatoa idadi kubwa ya chaguzi za masoko ya kubashiri live na odds zilizoboreshwa ambazo hubadilika kila wakati ili wateja kupata taarifa kamili za mechi zinazoendelea. 


Mtiririko wa Bonasi za WinPrincess

WinPrincess.co.tz inasemekana kuwa sehemu sahihi ya bonasi na promosheni ikilinganishwa na tovuti zingine za kubashiri michezo mtandaoni nchini Tanzania. Mwendeshaji wa tovuti hutoa bonasi ya kujisajili kwa mteja yeyote mpya aliyemaliza usajili wake, pia wanatoa 200% bonasi ya amana ambapo mteja anarudishiwa kiasi sawa na kile alichoweka.

Kwa mfano, ikiwa utaweka amana yako ya kwanza Tsh 10000, mwendeshaji atakuwekea kwenye akaunti yako Tsh 10000 kama bonasi ya beti za bure, utapokea tena bonasi ya 50% kwenye amana yako ya pili na 50% kwa amana yako ya tatu katika mfumo wa beti za bure. Bonasi nyingine ya kuvutia kutoka kwa WinPrincess ni bonasi ya beti zaidi ambapo unaweka beti kwenye mechi 3-30 na kupata bonasi ya 150% kama beti za bure.

Mwendeshaji huyu pia anampa mteja wake bonasi ya Insurance na mwishowe kuna bonasi ya kila Jumatano hadi 20%. Masharti na vigezo ya bonasi za WinPrincess ni vya kueleweka na masharti rahisi ya kuizungusha bonasi. 


Jackpot ya Kubashiri ya WinPrincess kwa Tanzania ni Kiasi Gani?

WinPrincess inaendesha jackpot ya kila wiki kwenye tovuti yao ambayo inamruhusu mteja kutabiri mechi 11 tofauti za mpira wa miguu zilizochaguliwa na mwendeshaji kwa chaguzi tatu tu (Ushindi Nyumbani, Sare, Ushindi Ugenini). Kiasi cha hisa katika mashindano hayo ni Tsh 2000 na mshindi aliyefanikiwa kutabiri kwa usahihi mechi zote 11 atashinda pesa ya jackpot. Kiasi cha jackpot ya WinPrincess ni Tsh 11,000,000.


Aplikesheni ya Kubashiri ya WinPrincess

WinPrincesss ina programu ya simu inayofanya kazi kwenye vifaa vyote vya Android na IOS, ambayo inaruhusu wachezaji kuingia kwenye tovuti mahali popote. Aplikesheni ya simu ya mwendeshaji huyu hutoa utumiaji rahisi wa tovuti yao na picha nzuri za kuvutia pamoja na programu inayosahihishwa mara kwa mara.

Programu hii ni ya bure kabisa na inaweza kupakuliwa kwa kutumia mwongozo rahisi unaopatikana sehemu ya juu kulia kwenye tovuti yao, bonyeza kitufe cha ‘MOBILE APP’ na itakuongoza jinsi ya kupakua. Programu hii ya simu pia inaruhusu wachezaji ambao hawaja jisajili bado kufanya mchakato wao wa usajili, kuweka beti kwenye matukio yote na ufikiaji wa aina zote za masoko, kudai bonasi kama vile kwenye toleo la desktop.


Njia za Kuweka na Kutoa Pesa na WinPrincess

WinPrincess inatoa njia mbalimbali za kuweka na kutoa pesa kwa urahisi na haraka zaidi. Wachezaji wanaweza kuweka hela kwenye akaunti zao kwa usalama kupitia Vodacom / M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money, HaloPesa, EzyPesa na kuhamisha kutoka Bank na hakuna makato yoyote yale yatakayowekwa kwa mteja endapo atatoa pesa zake za ushindi kuhakikisha wanapata pesa yao kamili. Namba ya biashara ya WinPrincess ni 077077. Baada ya mchakato wa amana kukamilika wachezaji wanaweza kuanza kuweka beti zao. 


WinPrincess Huduma kwa Wateja na Chati za Live

WinPrincess inatoa huduma isiyositishwa kwa wateja masaa 24 siku 7 za wiki kupitia chati za live, barua pepe support@WinPrincess.co.tz whatsapp kupitia nambari 0768 045 860 na pia unaweza kuongea na wasaidizi wa huduma kwa wateja kupitia nambari 0746 983 800. Kuna kitufe kidogo katika tovuti upande wa chini kulia kilichoandikwa “Start Chat” utabonyeza na badala ya hapo utapokea mrejesho ndani ya muda mfupi. 


Hitimisho

Mwendeshaji wa tovuti amewekeza nguvu nyingi kuwapa wateja wake huduma bora za michezo ya kubashiri na kamari ya kasino mtandaoni. Jukwaa hili liko sokoni kwa kipindi kifupi lakini limefanikiwa kutengeneza ushindani mkubwa na waendeshaji wengine wa tovuti za kubashiri Tanzania kwa kutoa uchaguzi nzuri za michezo ya kubahatisha, michezo bora na maridadi ya kasino mtandaoni, masoko mengi ya kubashiri, odds bora na vifurushi mbalimbali kwa wachezaji wote waliopo na wapya.


Nukushi Kuhusu WinPrincess Tanzania

 • Ndio! WinPrincess ni tovuti salama ya kubashiri michezo mtandaoni iliyosajiliwa na Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania chini ya leseni namba SBI000000004 na OCL000000006

 • Kikomo cha malipo ya WinPrincess kwa kuponi moja ni Tsh Milioni 30 na kiwango cha juu cha kushinda kwa siku ni Milioni 50

 • Malipo na WinPrincess hufanyika ndani ya muda usiozidi masaa 24