SOKABET TANZANIA

Sokabet ni tovuti ya ki-Tanzania ya kubashiri mtandaoni ambayo ilikuwa pacha na MkekaBet Tanzania, iliyoanzishwa mnamo 2017. Kampuni hizi mbili zilitengana na baadaye Sokabet ilifunguliwa tena mwaka 2020. Tangu wakati huo, Sokabet haijawa maarufu sana na sasa inajitahidi kurudisha wateja wake waliopotea na kukabiliana na ushindani katika tasnia. Jukwaa la kucheza kamari la Sokabet nchini Tanzania linapatikana kwa lugha ya Kiingereza na Kiswahili.

 


JINSI YA KUJISAJILI NA SOKABET - HATUA KWA HATUA

Kujisajili kwa wateja katika tovuti hii ni rahisi na haichukui zaidi ya dakika mbili. 

 • #1: Nenda kwenye tovuti ya ‘Sokabet’ na ubonyeze jisajili.
 • #2: Utahitajika kutoa taarifa zako binafsi kama nambari ya simu na nywila.
 • #3: Baada ya kuweka nambari ya simu utapata namba ya uthibitisho. Utahitajika kuingiza nambari hiyo kwenye upande wa SMS ili kuthibitisha akaunti yako ya kubashiri.
 • #4: Bonyeza kwenye kibox na ukubali kuwa una ‘miaka 18 na zaidi’ ili kukamilisha usajili wako.

MICHEZO IPI INATOLEWA NA SOKABET.CO.TZ?

Chaguzi za kubashiri za Sokabet na odds hutolewa na kampuni ya Ulaya kwa hivyo mwendeshaji wa tovuti hatoi matukio kutoka kwenye mashindano ya nyumbani. Badala yake, wachezaji wana uwezo wa kubeti kwenye mechi yoyote ya Ulaya kote ulimwenguni.

Kwa kuongezea mwendeshaji wa tovuti haitoi tu mechi za kitaalam kutoka kwa mabingwa wa kiume, pia hutoa idadi kubwa ya ligi za vijana na amateur na wakati mwingine unaweza pia kupata ligi ya mashindano ya wanawake kwenye tovuti. Kwa sababu ya uhalisia duni wa ulimwengu wa mpira nje ya Ulaya, Sokabet ana idadi ndogo ya mechi za mpira wa miguu ukilinganisha na waendeshaji wengine wa tovuti kwenye tasnia hiyo. Sokabet hutoa utabiri kwenye michezo kama vile:

 • Golf
 • Rugby
 • Baseball
 • Table Tennis
 • Tennis
 • Moira wa Kikapu
 • Ice hockey
 • Mpira wa Miguu
 • Volleyball
 • Badminton
 • Boxing
 • MMA
 • Darts
 • Snooker nk

Sokabet ya kisasa ya mtumiaji inaruhusu wachezaji kupata odds kirahisi kwenye kila mechi na kuweka beti zao. Kwa kuongezea, sokabet.co.tz hutoa odds nzuri kwa kila tukio kubwa la michezo na chaguzi zaidi ya 4000 za kubashiri.


Jinsi ya Kubeti na Sokabet.co.tz

Kubashiri mtandaoni na Sokabet Tanzania wachezaji watahitaji kufata mwongozo ufatao:

#1: Weka amana katika akaunti yako ya kubashiri.

Ili kuweza kuweka beti utahitaji kuweka salio katika akaunti yako. Bonyeza weka pesa na uweke salio. Chagua njia ya malipo (Mpesa, Tigo Pesa, Airtel Money, Halopesa)

#2: Chagua pendekezo lako la ligi au nchi.

#3:  Chagua mchezo uupendao unaotaka kufanya ubashiri.

Kama utachagua mpira wa miguu zitakuja ligi mbali mbali, utahitajika kuchagua nchi na aina ya mashindano. Unatakiwa kufahamu nchi / ligi, jina la timu na aina ya mashindano.

#4: Chagua mechi zako.

Kama utachagua ligi ya michezo utaona mechi zote zilizopo chini ya ligi hio. Huwa zimepangwa kwa tarehe. Tafuta mechi unayotaka kufanya ubashiri na ubonyeze. 

#5: Chagua aina ya beti.

Baada ya kubonyeza kwenye mechi fulani, utaona chaguzi zote zinazohusiana na mechi hio. Amua kama unataka kufanya beti moja au beti mchanganyiko. Kila aina ina odds tofauti. 

#6: Angalia mechi zinazoweza kushinda.

Kama una uhakika na utabiri wako kwamba timu A inashinda mchezo, weka beti yako kwa umakini. Usiruhusu kuweka beti kwa bahati mbaya. 

Baada ya kumaliza utasubiri matokeo ya tukio, kama utashinda utaonyeshwa ushindi wako kwenye akaunti.

#7: Toa pesa.

Sasa unaweza kuamua kutoa pesa yako au kuiacha kwenye akaunti yako ya kubashiri ili kuweza kutengeneza beti zingine huko mbeleni. 


UBASHIRI LIVE NA SOKABET TANZANIA

Sokabet ni tovuti ya kubashiri mtandaoni ambayo hutoa huduma ya kubashiri live kwa wateja wake lakini kwa bahati mbaya haitoi chaguo la matangazo ya moja kwa moja kama tovuti nyingi za kubashiri nchini Tanzania. Mwendeshaji wa tovuti ana idadi nzuri ya chaguzi za kubashiri

live na mechi zilizo na odds za juu kwenye mpira wa miguu na matukio mengine ya michezo.


MTIRIRIKO WA BONASI ZA SOKABET TANZANIA

Kitu kizuri kuhusu Sokabet, tovuti ya kubashiri mtandaoni ni kwamba wanaweza kusimamia kuwaweka wachezaji kwenye tovuti kwa kutoa bonasi za kuvutia na ofa mbali mbali kwa vigezo rahisi. 

Karibu bonasi ambayo pia inayojulikana kama bonasi ya kujisajili iko maalum kuwavutia wachezaji wapya ingawa unaweza kuhitajika kuweka kiasi kidogo kama amana ya kwanza kuwa na sifa ya kupata beti za bure zinazotolewa. Wachezaji waliopo hawajasahaulika pia, wanapewa bonasi za aina tofauti ili kuendelea kutengeneza beti.


KIASI CHA JACKPOT YA KUBASHIRI MICHEZO NA SOKABET TANZANIA

Kwa bahati mbaya, udhaifu mkubwa wa Sokabet Tanzania ni kutokuwa na jackpot ya kubashiri michezo kwa wateja wake badala yake wachezaji wanaweza kutumia faida za jackpots ndogo zinazotolewa kutoka michezo mingine kama michezo ya kielektroniki zenye jackpot zinazoendelea.


APLIKESHENI YA SOKABET TANZANIA KWA VIFAA VYA ANDROID

Sokabet ina toleo la simu lililoboreshwa vizuri ambayo inafanya iwe rahisi kwa wachezaji kuweka beti mahali popote. Toleo la simu la Sokabet lina muundo wa kirafiki kwa watumiaji  na muonekano wenye picha za kuvutia na hupatikana kwenye smartphone yoyote au tablet. Mwendeshaji wa tovuti hii hana aplikesheni ya simu lakini unaweza kuingia kwenye tovuti kwa urahisi kupitia simu yako ya mkononi.

Kitu kizuri ni kwamba hauna ulazima wa kufanya jambo lolote la ziada ili uweze kustahiki kuweka beti kupitia toleo la simu, fungua tu kiunga cha tovuti na itakupeleka moja kwa moja kwenye toleo la simu la tovuti. Kwa kuongezea, wachezaji wanaotumia toleo la simu lililoboreshwa bado wanastahiki bonasi zote, matukio yote yanayopatikana na masoko sawa na kutumia toleo la desktop.


NJIA ZA KUWEKA NA KUTOA PESA NA SOKABET

Sokabet inatoa njia mbali mbali za kutoa na kuweka pesa kwa wateja wake kufanya miamala iwe rahisi. Njia ya kuweka pesa na Sokabet ni fupi na rahisi, wachezaji wanahitaji kufata njia zifuatazo. 

 • Chagua njia ya kufanya malipo (Tigo Pesa, Mpesa, Airtel Money, Halopesa)
 • Ingiza taarifa zinazo husika (Namba ya Biashara, Kumbukumbu Namba)
 • Ingiza kiasi chako cha Amana na Wasilisha.

Baada ya muda mchache pesa itaingia kwenye akaunti na unaweza kuanza kutengeneza beti zako. Pia utapokea barua pepe kwamba muamala wako umekamilika. 


SOKABET HUDUMA KWA WATEJA NA CHATI ZA LIVE

Sokabet inatoa huduma kamili kwa wateja masaa 24 siku saba za wiki kupitia chati za live na pia unaweza kuwapigia kupitia namba 0746 983 630, vilevile wana anuani ambayo inapatikana kwenye tovuti yao rasmi kwa maelezo zaidi.