PARIMATCH TANZANIA

Parimatch ni moja kati ya tovuti maarufu ya michezo ya kubahatisha mtandaoni nchini Tanzania, iliyoanzishwa huko Ukraine mnamo 1994. Ilipata umaarufu zaidi kwa kutoa huduma bora za michezo ya kubahatisha ulimwenguni kote. Kwa sasa Parimatch nchini Tanzania inachukuliwa kuwa tovuti inayoongoza kwenye kamari, inatoa idadi kubwa ya michezo mbali mbali na kasino wakati lengo lao kuu ni kufanya kila linalowezekana kutoa huduma bora za kubashiri kwa wateja wake.

 


JINSI YA KUJISAJILI NA PARIMATCH

Fomu ya usajili inapatikana upande wa juu kulia kwenye tovuti. Mchezaji ni lazima aingize taarifa zake muhimu kama nambari ya simu na nywila. Pia itakuhitaji kukubali Vigezo na Masharti (18+). Utatumiwa nambari ya uthibitisho kutoka kwa sms ambazo lazima ziingizwe katika sehemu maalum kwa uthibitisho wa nambari yako ya simu. Usajili utakuchukua dakika chache kukamilisha na sasa mteja anaweza kuingia ili kuanza kubashiri. 


MICHEZO IPI INATOLEWA NA PARIMATCH.CO.TZ

Parimatch ina idadi kubwa ya michezo mtandaoni unayoweza kubashiri zaidi ya matukio 30,000 ya mechi za awali kutoka kwenye michezo tofauti zaidi ya 25. Wachezaji wanaweza kuweka beti zao kwenye ligi zote maarufu kutoka Ligi ya Uingereza, ligi ya Hispania, Bundesliga, Serie A ya Italia na wengineo. Parimatch inachukuliwa kuwa jukwaa lenye kila kitu kwa kutengeneza beti kwa urahisi kutoka kwenye idadi kubwa ya michezo kama:

 • Michezo ya Elektroniki
 • Bet-games
 • Mpira wa Miguu
 • Mpira wa Kikapu
 • Tennis
 • Mpira wa Rugby
 • Cricket
 • Hockey
 • Boxing
 • Baseball na zaidi.

Katika upande mwengine michezo yote hapo juu kwa Parimatch hutolewa na aina mbali mbali za kuweka beti zikiwemo:

 • Single – kuweka beti kwenye tukio moja
 • System – mchanganyiko wa matukio
 • Parlay – kuweka beti kwenye matukio tofauti tofauti.
 • Parlay+ – Matukio ya ziada ambapo beti hukubaliwa kwa odds maalum kwa vigezo fulani. 

KUBASHIRI LIVE NA PARIMATCH

Sehemu ya ubashiri wa moja kwa moja (live) huko Parimatch hutoa malipo ya wastani wa asilimia 93 na odds zinazoanzia kulingana na ukubwa wa tukio na ligi. Odds hubadilika kila mara ili wateja wawe na taarifa halisi na masoko maalum ya kubashiri live kama vile (goli linalofuata, mfungaji wa goli linalofuata, kona inayofuata, magoli katika mechi juu / chini ya, alama ya mwisho) nk.

Pia, mwendeshaji wa tovuti hutoa huduma ya utiririshaji wa moja kwa moja sana sana kwenye ligi ndogo ndogo na michezo, huduma hiyo inapatikana kwa kila mteja bila kuwa na salio lolote kwenye akaunti. Kubashiri na Parimatch Tanzania hutoa kipengele halisi cha cash out kwa beti zote za live na utabiri wa mechi za awali na mipaka ya kiwango cha juu cha kubashiri huonekana kwenye tovuti.


MTIRIRIKO WA BONASI ZA PARIMATCH

Wacheza kutoka Tanzania, pamoja na wateja kutoka nchi zingine, wanaweza kupata bonasi mbali mbali kuweka beti za ziada. Vigezo na masharti ya bonasi hubabadilika kila wakati na taarifa halisi zinapatikana katika akaunti ya mtumiaji. Bonasi huko Parimatch zinaweza kupatikana katika njia mbili: pesa halisi kama asilimia ya amana na beti za bure kwa kiasi cha pesa.

Maelezo zaidi juu ya kila promosheni yanaweza kupatikana kwenye tovuti. Masharti ya bonasi kwa ujumla ni kuweka beti na utumiaji wa nambari ya ziada ya Parimatch kwa uanzishaji wa sasa. Nambari hizo ni lazima ziingizwe katika sehemu maalum kabla ya kuweka kiasi chochote cha pesa. 


JACKPOT YA KUBASHIRI YA PARIMATCH KWA TANZANIA NI KIASI GANI?

Cha kusikitisha, moja ya udhaifu mkubwa wa tovuti hii ni haitoi jackpot ya kubashiri michezo kwa wateja wake. Wachezaji wanaweza kuchukua fursa ya promosheni zingine na bonasi zinazotolewa na kampuni lakini hakuna ushiriki kwenye mashindano yoyote ya jackpot kila wiki.


APLIKESHENI YA KUBASHIRI YA PARIMATCH

Kutokana na ongezeko la mahitaji ya kubashiri na soko la kamari, Parimatch ina aplikesheni kwa watumiaji wote wa Andriod na IOS na kwa vifaa vyote vya simu na tablet vinavyowaruhusu kupata huduma za uchezaji kamari kwa urahisi na haraka. Aplikesheni ya simu huwawezesha wateja kuweka beti kwa urahisi kwenye michezo na kasino. Aplikesheni ina muundo mzuri uliojazwa rangi nyeusi na njano na nyeupe kama rangi mama.

Programu ya Parimatch ni bure kabisa na inaweza kupakuliwa kupitia toleo la tovuti kwenye simu ambayo hutoa utendaji halisi wa toleo hilo. Kwa kutumia simu na toleo la aplikesheni  wachezaji wana uwezo wa kuweka beti kwenye michezo na masoko yote, kudai promosheni zote zinazotolewa na mwendeshaji wa tovuti na bado wawe na uwezo wa kuweka na kutoa pesa. 


NJIA ZA KUWEKA NA KUTOA PESA NA PARIMATCH

Parimatch wana orodha nzuri na ya kuridhisha ya chaguzi za malipo kwa wateja wao, na hakuna kodi inayodaiwa kwa aina yoyote ya malipo. Ili kuweka amana au kutoa pesa, mchezaji lazima aingie kwenye akaunti yake. Mifumo ya malipo inayopatikana ni (Vodacom / M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money, HaloPesa) na chaguo limeunganishwa na nambari ya usajili ya mtumiaji.

Kwa amana ni muhimu bonyeza chaguo kwenye ukurasa wa nyumbani. Kisha fuata kila kitu kulingana na hatua zilizotolewa. Mwedeshaji hutoa sera ya usalama na ya kuaminika na ulinzi wa pesa za wateja katika akaunti zao.


PARIMATCH HUDUMA KWA WATEJA NA CHATI ZA LIVE

Parimatch inahakikishia kusaidia kila mpenzi wa kubahiri michezo masaa 24 siku 7 za wiki kupitia mazungumzo ya moja kwa moja, nambari ya simu 0800-78-78-78 au kupitia barua pepe kwa support@parimatch.co.tz. Bonyeza kitufe cha chini kulia kwenye tovuti na mawakala wa Parimatch watakusaidia. Mazungumzo ya moja kwa moja huaminika kuwa njia rahisi na ya haraka sana kupata taarifa yoyote unayoweza kuhitaji.


HITIMISHO

Tovuti rasmi ya Parimatch na programu ya simu inaweza kuchukua nafasi za kuongoza katika watoa huduma za kubashiri Tanzania kwa nafasi yao kisheria, muundo rahisi kwa watumiaji wa vifaa vya simu, mchakato wa haraka na rahisi wa usajili, utiririshaji wa moja kwa moja kwa chaguo la kubashiri live, njia rahisi za kuweka amana na kutoa pesa pamoja na msaada kwa wateja muda wote.