Gal Sport Betting

Gal Sport Betting Rating
60 / 100
Website
60%
Games
60%
Bonus
60%
Security
60%
App
60%
5
Bonus
Jackpot
Amount
Tsh 100,000,000
The jackpot matches are taken from football contests across the world, but the weekend 13-game jackpot is mostly taken from the English Leagues, especially the Championship games.

GAL SPORT BETTING TANZANIA

Gal Sport Betting inayotambulika kwa kifupi kama GSB ni kampuni ya kucheza michezo ya kubashiri mtandaoni ambayo imepata mafanikio makubwa katika soko la kamari la watanzania. Mwendeshaji huyu pia anajulikana katika nchi zingine za Kiafrika kama Zambia na Uganda lakini inasemekana Gal Sport Betting inategemea soko la Tanzania kwani mwendeshaji anafanya kila linalowezekana kuhifadhi mashabiki zao kwenye kampuni.


Jinsi ya Kujisajili na Gal Sport Betting

Mchakato wa kusajili na Gal Sport Betting unaonekana  kuwa rahisi na haraka. Bonyeza kwenye”Jisajili” na ujaze fomu ya usajili. Unaweza kuhitajika kuingiza taarifa zako binafsi kama jina, tarehe ya kuzaliwa, anwani halali ya barua pepe, nywila na nambari ya simu ambayo unataka kusajiliwa nayo. Kisha utakubali vigezo na masharti ya mwendeshaji wa tovuti na utakuwa tayari kuanza kuweka beti zako.


Michezo Ipi Inatolewa na Gal Sport Betting Tanzania?

Idadi ya michezo inayotolewa na mwendeshaji huyu ni ya wastani ikilinganishwa na waendeshaji wengine wa tovuti za michezo nchini Tanzania. Wachezaji wanaweza kuweka beti zao kwenye mechi zote kutoka kwenye Mashindano ya Tanzania. Gal Sport Betting Tanzania pia inatoa michezo mingine ya juu kutoka England, Uhispania, Germain, mechi kutoka Italia na michezo mingine zaidi ya 1000  kutoka nchi tofauti. Kutoka GSB wachezaji wanaweza kuweka beti kwenye michezo kama vile:

 • Mpira wa Miguu
 • Mpira wa Kikapu
 • Tennis
 • Table Tennis
 • Baseball
 • Volleyball
 • MMA
 • Cricket
 • Ice Hockey Rugby
 • Boxing
 • Michezo ya Kielektroniki nk.

Mwendeshaji huyu pia hutoa data za takwimu ya matokeo ya awali na uchanganuzi wa matokeo. Odds kutoka Gal Sport ni kubwa kiasi lakini mwendeshaji hatoi idadi kubwa ya chaguzi za masoko ya kubashiri.


Kubashiri Live na Gal Sport Betting Tanzania

Mwendeshaji wa tovuti hii hutoa huduma ya kubashiri michezo live kwa wateja wake lakini idadi ya masoko inayotolewani iko chini sana ikilinganishwa na tovuti zingine za michezo ya kubashiri mtandaoni nchini Tanzania. Pia mwendeshaji huyu hatoi kipengele cha utiririshaji wa michezo moja kwa moja kwenye tovuti. 


Mtiririko wa Bonasi za Gal Sport Betting

Kwa bahati mbaya mfumo wa bonasi za Gal Sport kwa wachezaji wa Kitanzania unaonyesha inatoa bonasi moja tu ambapo wachezaji wanapata Tsh 1000 kama beti za bure. Lakini cha kushangaza mwendeshaji huyu hutoa aina mbalimbali za kuvutia za jackpot kwa wachezaji wake. 


Jackpot ya Kubashiri ya Gal Sport Betting Kwa Tanzania ni Kiasi Gani?

Mwendeshaji ana aina tatu tofauti za jackpot za kubashiri zinazoitwa “Monster 5” ambayo ina jumla ya malipo Tsh 500,000 “My 13 Jackpot” ambayo ina ushindi zaidi ya Milioni 50,000,000 na mwisho kuna “My 13 Double Jackpot” yenye thamani ya zaidi Tsh 100,000,000. Jackpot zote zinatumika kwenye michezo ya mpira wa miguu zilizochaguliwa na mwendeshaji na mara nyingi hutoka kwenye ligi ya Uingereza. 


Aplikesheni ya Kubashiri ya Gal Sport Betting

Mwendeshaji wa tovuti ana menyu ya simu ambayo hutumia programu rahisi tu ambapo kila kitu kimeelekezwa kwenye shughuli za michezo pekee wakati huduma zingine za kamari hazijajumuishwa hata kidogo. Mwedeshaji hana aplikesheni ya simu lakini unaweza kuingia kwa urahisi kwenye toleo la simu kupitia kifaa chako. Kutoka kwenye menyu ya toleo la simu, wachezaji wanaweza kuingia kwenye menyu ndogo za kila aina ya michezo, kuweza kuzifikia mechi za awali na mechi za live, jackpots na viunga vya haraka vinavyokupeleka kwenye vigezo na masharti ya mwendeshaji pamoja na masharti ya kubashiri. 


Njia za Kuweka na Kutoa Pesa za Gal Sport Betting

Jinsi ya Kuweka Pesa na Tigo Pesa 

 1. Bonyeza *150*01#
 2. Chagua (4) ‘Lıpa Bili’
 3. Ingiza namba ya biashara: 277766
 4. Ingiza kumbukumbu namba: Weka namba yako ya utambulisho
 5. Ingiza Kiasi
 6. Ingiza neno siri 
 7. Subiri SMS kutoka GSB, na uingize namba uliyotumiwa.

Endapo hujapata SMS yoyote, tafadhali wasiliana na huduma kwa wateja. 

Jinsi ya Kuweka na Kutoa pesa na Vodacom, Mpesa

 1. Bonyeza *150*00#
 2. Chagua (4) ‘Lipa kwa M-Pesa’
 3. Ingiza namba ya biashara: 277766
 4. Ingiza kumbukumbu namba: Weka namba yako ya utambulisho
 5. Ingiza Kiasi
 6. Ingiza neno siri
 7. Subiri SMS kutoka GSB, na uingize namba uliyotumiwa.

Endapo hujapata SMS yoyote, tafadhali wasiliana na huduma kwa wateja. 

Kiwango cha chini cha kuweka pesa kwa Gal Sport Betting ni Tsh 500 na kiwango chao cha juu cha kuweka pesa ni Tsh 4,000,000.


Gal Sport Betting Huduma kwa Wateja na Chati za Live

Njia rahisi zaidi ya kuwasiliana na Gal Sport Betting huduma kwa wateja ni kupitia chati za live na moja ya udhaifu mkubwa wa mwendeshaji huyu ni sehemu ya chati za live ambayo inapatikana tu kwenye jukwaa la desktop linalofaa kwa laptops na PC wakati kwenye toleo la simu wachezaji hawawezi kuunganishwa moja kwa moja na huduma kwa wateja.

 


Hitimisho

Gal Sport Betting inaonekana kuwa tovuti yenye muonekano safi lakini kutokana na vipengele vyote hapo juu, mwendeshaji bado hajafikia kiwango cha sasa cha tovuti za kubashiri mtandaoni kulinganisha na waendeshaji wengine nchini Tanzania.