Tovuti Bora za Kubashiri Michezo LIVE

Kampuni nyingi za kubashiri michezo mtandaoni nchini Tanzania sasa zinatoa chaguzi za kubeti za moja kwa moja (live). Kubeti michezo moja kwa moja hufanya michezo ya kubashiri iwe ya kufurahisha zaidi kwani wachezaji wanapata fursa ya kufanya beti za ziada na masoko maalum yanayopatikana tu kwenye ubashiri michezo unayoendelea. Winprincess.co.tz ni kati tovuti bora zaidi ya michezo nchini Tanzania ambayo wanatoa huduma za kubashiri michezo moja kwa moja.

Unawezaje Kuweka Beti LIVE Kwenye Tovuti za Kubashiri Mtandaoni Tanzania?

Michezo ya kubashiri moja kwa moja wakati mwingine huitwa ubashiri wa michezo wakati tukio linaendelea ni pale ambapo wachezaji wanaweza kuweka beti zao baada ya tukio tayari kuanza. Kuweka beti moja kwa moja hukupa nafasi ya kubadilisha beti au kuweka beti mpya wakati wa tukio. Sasa swali ni jinsi gani unaweka beti ya moja kwa moja?

Kama ilivyotajwa katika utangulizi hapo juu,kubashiri moja kwa moja ni rahisi kuelewa. Unaweka beti zako kulingana na kile unadhani kitatokea, ikiwa uteuzi wako ni sawa unalipwa mara moja bila kulazimika kusubiri matokeo ya mwisho na ikiwa uteuzi wako sio sawa, unapoteza beti yako.

Tofauti kuu juu ya beti za moja kwa moja ni kwamba ina masoko yake maalum ambayo huwezi kupata katika betting za kawaida. Mfano wa masoko ya beti zamoja kwa moja yanaweza kujumuisha:goli linalofuata, mchezaji anayefuata kupata goli, timu inayofuata kupata goli na zinginezo.


Faida za Kubashiri LIVE

Ubashiri wa moja kwa moja hukupa nafasi ya kupata picha kamili ya kile kinachotokea wakati wa tukio kabla ya kuamua kuwekeza fedha zako ulizozipata kwa jasho. Ubashiri wa moja kwa moja pia huwapa wachezaji njia zaidi za kushinda kwa sababu unapata masoko kadhaa tofauti ya kubeti ambayo hayapatikani kwenye ubashiri za mchezo wa kabla na mwisho, ubashiri wa moja kwa moja hutoa uwezo wa kufanya beti za ziada. 


Aina Nyingi za Masoko

Ubashiri wa moja kwa moja hutoa masoko mengi ya kubeti ambayo inakupa nafasi nzuri ya kupata thamani. Kwa mfano unaweza kubeti ni mchezaji gani atakayeenda kufunga goli linalofuata, aina hii ya soko haipatikani kwenye ubashiri wa kawaida. Kwa kuzingatia ukweli kwamba malengo ya wachezaji wengi ni ya muda mrefu na kuwa na uwezo wa kutengeneza beti zenye thamani, kuwa na masoko mengi ya kubashir kunaweza kuitwa kama faida kubwa zaidi kuliko yote. 


Odds Kubwa

Chaguzi za kubashiri za moja kwa moja hutoa odds za juu zaidi kuliko aina ya kawaida ya kubeti. Odds za juu kwenye ubashiri wa moja kwa moja inamaanisha faida zaidi. Pamoja na kubadilika kwa odds kila wakati, ni rahisi kuchagua masoko bora na odds bora zenye faida wakati tukio bado linaendelea kulinganisha na ubashiri wa mchezo ya kabla ambayo hutoa odds zisizobadilika.


Aplikesheni ya Simu

Aplikeni ya simu au tovuti ya simu ni kipengele cha muhimu katika tovuti nyingi za kubashiri michezo moja kwa moja. Wachezaji wanapata uwezo wa kuweka beti, kupata mtiririko wa tukio zima pamoja na kupata taarifa za magoli kwa kutumia simu zao za mkononi katika mazingira yoyote yale. Aplikesheni za simu za mkononi ni kipengele ambacho tovuti zote bora za kubashiri michezo moja kwa moja huwa nacho. 


Cash Out

Chaguo la cash out hutajwa zaidi kama kipengele cha “kusitisha hasara”. Maana yake ikiwa beti zako haziendi kama utabiri wako, unaweza haraka kubonyeza kifungo cha cash out na unaweza kupata kiasi pungufu kuliko kile ulichoweka mara ya kwanza ili kuepuka kupoteza fedha yote. 


Aina za Chaguzi za Kubashiri LIVE Kwenye Mpira wa Miguu

Wacheza wengi wanaweza kuwa wanafahamu chaguzi za michezo ya betting za kabla ya mchezo lakini beti za moja kwa moja ni chaguo lingine la kupendeza la kubashiri mpira wa miguu kwani inazidisha nafasi yako ya kugundua aina zaidi za chaguo za kubeti ambazo hautakutana nazo kwenye uchezaji wa kawaida wa mpira. Zifuatazo ni chaguzi kuu za kubashiri mpira wa miguu moja kwa moja zitakazokusaidia. 


Timu

Ni chaguzi ambayp inakupa nafasi kubeti kwenye timu fulani, kubashiri matokeo fulani mfano ni timu gani inauwezekano wa kupata kona nyingi zaidi na nyinginezo.


Magoli

Inahusisha kubeti kwenye idadi ya magoli unahisi yatapatikana mwisho ya mchezo. Kwa kuzingatia kwamba tayari unaangalia tukio, ni rahisi kubashiri kulingana na jinsi mchezo unavyoenda.


Nusu Kipindi / Kipindi Kizima

Kwa kifupi ni beti mbili ndani ya beti moja. Unabeti kutokana na kile unahisi kitatokea katika kipindi cha kwanza na katika kipindi cha pili. Kwa kifupi ni kuweka ubashiri wako kwenye vipindi vyote viwili. 


Mchezaji

Kubeti moja kwa moja kwa kwa mchezaji fulani ni aina nyingine ya chaguzi yenye manufaa ambayo inaweza kufanyika endapo unafatilia kila mchezaji wakati wa tukio. Ni beti yenye faida ambayo inahitaji ufatiliaji. 


Kadi

Ni moja kati ya chaguzi za kusisimua ambayo inahitaji uwezo wa kuwafahamu wachezaji wa timu fulani ambao wanauwezekani wa kupata kadi au kufatilia kwa makini jinsi gani mchezo unaenda. 


Kona

Hapa wachezaji wanaruhusiwa kubashiri kwenye idadi ya kona mpaka mwisho wa mchezo. Uzuri ni kwamba, tayari unafahamu ni kona ngapi zimeshapatikana na unaweza kuanzia ubashiri wako hapo. 


Tovuti Ipi Inatoa Odds Bora za Kubashiri LIVE Tanzania?

Uzuri wa kubashiri wakati wa tukio kwa wachezaji wengi mara nyingi ni odds zinazotolewa na  makampuni mengi ya kubashiri mtandaoni. Wakati kuna kampuni nyingi za kuaminika za michezo mtandaoni ambazo hutoa odds za kubashiri moja kwa moja, lengo kuu kwa wachezaji mtandaoni ni kupata tovuti ya kubashiri michezo Tanzania ambayo inatoa odds bora zaidi za kubashiri.

Kabla ya kuweka beti kwenye tukio lolote linaloendelea, unashauriwa kulinganisha odds kutoka kwa makampuni ya kubashiri tofauti. Kwa faida yako ya muda mrefu kutengeneza uzoefu wa kubeti moja kwa moja, tafadhali tembelea tovuti ya WinPrincess.co.tz kupata odds bora zaidi za kubeti michezo. 


Mikakati Bora Ya Kubashiri Michezo LIVE

Kuweka beti kwa moja kwa moja ni tofauti kidogo na soko la kawaida la mchezo wa kubeti na kwa hivyo masoko ya kubeti ya moja kwa moja yana maana maalum kwa kuzingatia kuna idadi ya mikakati ambayo unahitaji kuzingatia. Walakini, mikakati yako ya kubashiri moja kwa moja inaweza kuwa tofauti kulingana na ni michezo gani unayo betia. Ifuatayo ni misingi ya kuzingatia:


Kuchagua Tovuti Sahihi Mtandaoni

Kwanza kabisa, kuchagua tovuti sahihi yaa michezo kinapaswa kuwa kipengele cha kwanza kwenye orodha yako wakati wa kuamua kufanya ubashiri wa moja kwa moja. Kuchagua tovuti bora ya michezo mtandaoni kitakusaidia kufanya uzoefu wako wa kubeti moja kwa moja rahisi na ufurahie hatua hiyo. Chagua tovuti yenye odds bora zaidi, uteuzi mpana wa aina ya masoko, tovuti ambayo inatoa michezo yako yote ambayo ungependa kubeti moja kwa moja na muhimu zaidi kuchagua moja ambayo ni rahisi na salama kuweka beti moja kwa moja kwa fedha taslim.

Jaribu tovuti ya kubashiri michezo mtandaoni kama WinPrincess.co.tz na upate uzoefu bora wa kubashiri moja kwa moja.


Chambua Takwimu za Timu Kabla ya Tukio

Kuchambua takwimu za tukio kabla halijaanza ni kitu cha msingi kwa wachezaji wote haswa ikiwa unataka matokeo yenye faida. Unapaswa kujua takwimu za kile kilichotokea kwenye mechi zilizopita, idadi ya magoli yaliyofungwa nyumbani na ugeninii, wachezaji kwenye kumi na moja ya kwanza, asilimia ya wachezaji waliojeruhiwa na pia utendaji wa timu wakati wanacheza nyumbani na ugenini.

Kwa kuongezea, kampuni nyingine za michezo mtandaoni hutoa sehemu ya takwimu ndani ya tovuti kufanya iwe rahisi kwa wachezaji kuwa na utafiti wa haraka kabla ya kuchagua timu itakayoshiriki.


Fahamu Hali ya Wachezaji

Taarifa kuhusu hali ya wachezaji kiafya, majeraha na ufuatiliaji juu ya mafunzo yao ni jambo la muhimu kuzingatia kwani utendaji wa timu na uwezo wa kushinda beti yako unategemeana na wao. Wakati wa mwanzo wa msimu, wachezaji wengi wanahitajika kufanya vizuri zaidi na michezo hufanyika kila baada ya siku tatu. Katika hali kama hizi ni vyema kujulishwa kikamilifu juu ya hali ya wachezaji kabla ya kuamua juu ya nini au nani wa kumbetia.


Subiri Wakati Sahihi wa Kuweka Beti Yako

Kwa beti za moja kwa moja zenye kufanikiwa na zenye faida, wachezaji wanahitaji kujua ni wakati wa kuweka beti zao. Katika michezo, haswa mpira wa miguu, mengi yanaweza kutokea katika dakika 90 ya mchezo. Timu moja inaweza kuwa inayoongoza kuliko timu ingine kwenye kila shambulio wanayochukua na ghafla meza zinaweza kugeuka. Kutokea kwa matukio kama huyo katika mchezo hubadilisha mwenendo wa odds na hapo ndipo uwezo wa kujua wakati wa kuweka beti yako kwa kutathmini hali hiyo na kwa kurejea utafiti wako wa hapo awali juu ya takwimu za timu.


Beti za Juu / Chini: Ni Muda Gani na Wapi pa Kuzitumia?

Beti za juu na chini ya ni moja ya silaha kubwa sana, ni rahisi na inaeleweka kwa urahisi. Unaweka beti yako juu idadi ya nagoli ikiwa itakuwa juu / chini ya alama inayotarajiwa. Wakati wa kuamua kutumia soko hili kwenye kubashiri moja kwa moja ni bora kujua ni wakati gani sahihi kuitumia. Jiulize maswali haya:

  • Muda umesalia kwa mchezo kumalizika?
  • Je! Timu zote mbili zinatamani kupata bao?
  • Je! Ni nani anamiliki mchezo kwa timu zote mbili?

Linda Beti Yako: Jinsi ya Kuzuia Hasara

Kuilinda beti yako wakati mwingine huitwa kuiwekea ukingo ni muhimu kwani zinaweza kutumika kupunguza hatari ambazo kukutana nazo na katika hali zingine, zinaweza kutumika kukuhakikisha faida. Ufuatao ni mfano wa jinsi ya kuilinda beti yako:umeweka beti yako kwenye timu A kushinda mashindano, kwenye fainali kampuni ya kubashiri umekuwekea odds ya 2.00 kwa timu A na timu B ilipewa 1.50.

Ikiwa bado una imani na timu A unaweza kuruhusu beti yako iendelee kama iliyo lakini unaweza kulinda beti yako ili kupata faida na kupunguza hasara kwa kuwekea uzio na kuweka beti ingine kwa timu B pia.


Nukushi Kuhusu Beti za LIVE

  • Beti zilizokataliwa zinaweza kutokea kwa sababu tofauti, kwa mfano ikiwa hisa yako ni kubwa kuliko kiwango cha juu kinachoruhusiwa au beti yako ilicheleweshwa kwa sababu ya kuingiliwa kwa tatizo la kiufundi. Ikiwa haya yote yanatokea, hisa yako itarudishwa outomatiki kwa akaunti yako na ikiwa hilo halitafanyika, tafadhali wasiliana na kampuni yako kubashiri kwa msaada zaidi.

  • Beti za moja kwa moja hupatikana sawa na jinsi unavyopata historia ya beti zako. Kulingana na tovuti gani ya michezo unayotumia sasa, utaratibu ni sawa. Bonyeza tu historia yangu ya beti au manunuzi na upate historia ya beti zako ulizocheza moja kwa moja.

  • Beti zilizochezwa moja kwa moja pia zinaweza kutolewa kwa njia ile ile kama unavyotoa fedha zako wa beti za kawaida. Bonyeza kitufe cha cash out au kutoa. Unaweza pia kutoa fedha zako kupitia akaunti yako ya simu ya mkononi au uhamishe kwenda benki. Ni rahisi na haraka zaidi.

  • Ndio inawezekana. Laini ni muhimu kuhakikisha sheria na masharti ya tovuti unayotumia kuhusiana na kutumia bonasi au promosheni yoyote kwenye kubashiri michezo ya moja kwa moja.