Kampuni Gani Ya Kubashiri Inayotoa Cash Out Tanzania?

Cash out ni huduma mpya inayotolewa na makampuni ya kubashiri na imetokea kupendwa na wachezaji wengi mtandaoni. Ni huduma muhimu inayotumika kulinda ushindi unaoweza kupatikana ama au kupunguza kikomo cha hasara. WinPrincess.co.tz ni mojawapo ya kampuni ya kubashiri mtandaoni inayotoa huduma hii Tanzania. Hakikisha unatembelea tovuti yao.

Nini Maana Ya Cash Out?

Sekta ya kubashiri michezo imekuwa biashara ya ushindani kiasi kwamba makampuni ya kubashiri mtandaoni wanajitahidi kupata mawazo mazuri ya kukaa kwenye soko na sio kufanya michezo ya kubashiri iwe sio changamfu kwa wateja wake. Moja ya uvumbuzi wa hivi karibuni ilikuwa “cash out”. Cash out ni pale ambapo mchezaji anaweza kufunga beti yake kabla ya mchezo kumalizika. Maana yake ni kwamba, kabla ya mchezo kumalizika mchezaji ana uwezo wa kutoa pesa kwenye beti kwa odds atakazopewa.

Chaguo la Cashout linachukuliwa kuwa chaguo la kati, kati ya kushinda beti nusu na kuwa katika hatari ya kuipoteza yote. Chaguo la Cashout linaweza kusikika kuwa rahisi kwa wachezaji wazoefu lakini pia inaweza kuwa ngumu kulifanyia mazoezi kwani inahitaji kuwa na subira na kusimama na beti yako ya kwanza au kuweka yote hayo kando na kwenda kwa kiwango ambacho kampuni ya kubashiri imekubali kukulipa.

 Mara nyingi, chaguo la cash out  uhusishwa sana lakini haina kikomo kwenye mpira wa miguu. Makampuni tofauti tofauti ya kubashiri hutoa seti tofauti za chaguzi za cash out kwani wakati mwingine kampuni hizi hutoa chaguo kwa michezo maalum na masoko tu.

 


Mahesabu Ya Cash Out Yanakuaje?

Hesabu ya malipo ya cash out huhesabiwa kutoka kwenye odds ya wakati na malipo na malipo kamili ya hisa zako.

Mfano wa formula ya pesa taslimu:

Thamani ya cash out = uwezekano wa kiasi cha ushindi ÷ odds za wakati huo

Kwa hivyo ikiwa tutachukua mfano wa Arsenal kushinda Aston Villa na hisa ya awali ya Tsh2000 kwa odd ya 5.0, faida inayoweza kutokea ni takriban Tsh10000

Katikati ya mchezo odds zikashuka kwa nusu hadi 2.50 na unataka kufanya cash out

Cash out itahesabiwa kama ifuatavyo:

10000 ÷ 2.50 = Tsh4000

Kwa hivyo utakuwa na bahati ya kupokea 4K badala ya kuipoteza yote.


Nini Mbadala wa Cash Out?

Kuweka uzio inaweza kuwa njia mbadala unayoweza kutumia badala yacash out. Uzio inamaanisha kutumia nafasi tofauti na mabadiliko ya odds kutoka kwa makampuni ya kubashiri tofauti tofauti ili kurudisha faida ya uhakika kutoka kwa mchezo fulani. Mbadala huu ni nadra sana na haifanyiki mara nyingi lakini kuna baadhi ya sehemu inaweza kutumika. Wachezaji wanaweza kuamua kuwa na mkakati mbadala na kupuuza chaguo la cash out kutoka kwenye kampuni ya kubashiri michezo walipoweka beti zao na kuamua kuweka beti nyingine kwenye kampuni  nyingine kwa lengo la kufanya biashara kwa faida. 


Kwanini Tovuti Za Kubashiri Mtandaoni Zinatoa Cash Out?

Wacheza wengi labda wanajiuliza ni kwanini tovuti za kubashiri mtandaoni ziliamua kutekeleza chaguo la cash out. Moja ya sababu ni kwamba kipengele hiki ni cha burudani zaidi na wachezaji wametokea kuipenda. Inaruhusu wachezaji kusimamisha beti, kutoa fedha taslimu na kuweka beti nyingine kwenye mchezo mwingine wakati huo huo. Sababu nyingine inaweza kuonekana kuwa ya kushangaza kwa watu wengi lakini kipengele cha cash out kinawapa kampuni za kubashiri faida zaidi.

Kitu cha msingi ni kwamba kipengele cha cash out kinaweza kuwa mkakati mzuri kwa wachezaji wenye uzoefu kwani hautapoteza kabisa hisa yako, na bado unaweza kuwa na uwezo wa kutengeneza hisa nyingine kwa kiasi cha cash out.


Faida za Cash Out

Faida muhimu zaidi ya cash out ni kwamba una uwezo wa kukusanya faida yako kabla ya tukio kumalizika. Hicho ni kitu cha kipekee sana. Faida nyingine ya cash out ni kwamba una uwezo wa kupata sehemu ya hisa yako kuliko kupoteza yote. Inaweza kuwa mkakati mzuri sana kwani cash out inakuhakikishia faida na hupunguza wasiwasi wako wa kupoteza.

 


Hasara za Cash Out

Kitu chochote kilicho na faida lazima kiwe na hasara kadhaa kwa namna moja au nyingine. Kitu kibaya kuhusu huduma ya cash out ni kwamba unachukua malipo kidogo kuliko yale unayopata ikiwa utaacha beti yako ifuate mkondo wake. Wakati mwingine unaweza kutoa sadaka kubwa kwenye meza kwa kufanya cash out. Pia, chaguzi za cash out hazitumiki kwa fedha za ofa, promosheni pamoja na matangazo mengine. 


Muda Gani Unafaa Kufanya Cash Out

Wakati mzuri wa kufanya cash out ni wakati beti yako inaendelea. Mfano wa haraka: unabeti Tsh 10000 kwa Norwich kushinda Liverpool kwa odd ya 7.0. Ikiwa bet yako itashinda utapata jumla ya Tsh 70000. Dakika chache kabla ya mchezo kumalizika, Norwich wameshafunga bao 1-0 na Liverpool wameanza kushambulia kwa kasi. Kwa haraka unaweza kufanya cash out kwa odds pungufu mfano 4.0, utapata Tsh 40000 na kuokoa hisa yako. 


Ni Muda Gani Sio Sahihi Kufanya Cash Out?

Kuna matukio kadhaa ambapo sio lazima utumie chaguo la cash out, haswa wakati matokeo yako upande wako. Kutumia mfano huo, ikiwa Norwich inaongoza kwa mfano 2-0 na dakika chache kwenda na mchezaji wa Liverpool atatolewa, kwa wakati huu haifai kufanya cash out kwani unaweza kushinda bet na kupata jumla ya kiasi chote cha ushindi.


Nukushi Kuhusu Cash Out?

  • Cash out kwa kawaida hutumika sana kwenye mpira wa miguu LAKINI ukitumia chaguo la cash out inategemea ni ampuni gani ya kubashiri umetumia. Wengine hutoa chaguzi zacash out katika karibu kila michezo wakati wengine huweka kikomokwenye baadhi ya michezo na masoko ya kubeti pia.

  • Kwa bahati mbaya chaguzi ya cash out haitumiki kwa ofa za beti za bure, bonasi au aina yoyote ya promosheni. Ni muhimu kusoma videzo na masharti ya kampuni fulani kuhusiana na aina zipi za beti, kiasi cha hisa unaweza kutumia chaguo la cash out.

  • Hii inaweza kutofautiana kwenye makampuni tofauti lakin malipo ya cash out huwa ni ya haraka na hayawezi kuzidi ndani ya kipindi cha masaa 24. Endapo malipo yatachelewa, kampuni husika itakutaarifu kama kuna tatizo lolote la kiufundi.

  • Kama ulivyosoma maelezo yote hapo juu, chaguo la cash out ni rahisi. Ukilinganisha faida na hasara zake, hatuwezi kukwambia kwa uhakika kama unaweza kutumia au huwezi kutumia huduma hii. Uamuzi wa kufanya cash out unategemea sana na historia yako ya mikakati ya kubashari michezo au ni kiasi gani unataka kutengeneza fedha kupitia michezo.