Ni Masoko Gani Ya Kubeti Bora Zaidi Kutoka Kwenye Tovuti Za Kubeti Tanzania

Kuna chaguzi nyingi bora za kubashiri linapokuja suala la michezo ya kubeti. Daima ni muhimu kujua chaguzi bora zaidi za kubeti na nini hasa kitakufaa. Katika makala haya tutaenda hatua kwa hatua, kuanzia kuchagua tovuti bora ya kubeti mpaka ufafanuzi wa kubeti live na utiririshaji wa moja kwa moja na muhtasari mfupi wa chaguzi zingine za kubeti. Tusome maelezo zaidi:

Bookmaker Bonus Amount
1
Bonus
Welcome Bonus
Amount
%100 UP TO Tsh 100,000
Bonus amount must be wagered 10 times in accumulator bets. Each accumulator bet must contain at least 2 events within each accumulator must have odds of 1.50 or higher. Start dates of all events should not be later than the validity period of this offer.
2
Bonus
Loyalty Bonus
Amount
%10 UPTO Tsh 22,000
Qualifying bets must have minimum odds of 2.00, if placing a combination bet, the total odds must be equal to or greater than 2.00, or on Virtual sports
3
Bonus
Jackpot
Amount
TZS 247,417,220
To win the jackpot the punter must accurately predict the correct results from 13 matches, with a home win, draw and away win the three scenarios for each game.
4
Bonus
Loyalty Bonus
Amount
Tsh 500
Loyalty Bonus Get 500.00 Tsh for every 5 tickets and 5,000.00 Tsh you play with us. Your bonus is waiting. ... Play 5 tickets and 5,000.00 Tsh. You get the Bonus.
5
Bonus
Jackpot
Amount
Tsh 100,000,000
The jackpot matches are taken from football contests across the world, but the weekend 13-game jackpot is mostly taken from the English Leagues, especially the Championship games.

Jinsi Ya Kuchagua Tovuti Bora Kwa Beti Bora

Tasnia ya michezo ya kubashiri imekua biashara kubwa ulimwenguni ambapo inapatikana katika kila kona duniani utapata kampuni ya kubashiri mtandaoni. Hii inamaanisha kwamba wachezaji wana nafasi kubwa ya kuchagua wanapojaribu kucheza mtandaoni. Kuchagua tovuti bora ya kubashiri michezo ni uamuzi muhimu kwa sababu itapelekea kuathiri shughuli zako za kubeti. Yafuatayo ni maelezo tosha ya jinsi ya kuchagua tovuti sahihi: 


Fanya Utafiti

Kufanya utafiti inaweza kuchukua muda na pengine unaweza usipate taarifa zote unazohitaji lakini ni njia ambayo utahitaji kupitia ili kupunguza hatari ya kutumia tovuti isiyo sahihi.


Tovuti Zinazoaminika

Kivipi? Kitu cha kwanza unatakiwa kufanya ni kuangalia kama tovuti imesajiliwa kuendesha shughul za michezo ya kubashiri kutoka kwenye taasisi husika. 


Urahisi wa Tovuti

Je, tovuti ni rahisi kutumia? Hautahitaji kupata shida yoyote wakati unapojaribu kutengeneza beti yako au unapojaribu kujisajili.


Idadi ya Matukio ya Michezo

Chagua tovuti yenye chaguzi nyingi tofauti za michezo na sio ambazo zimeweka kikomo kwenye baadhi ya michezo. 


Odds za Kiushindani

Haipingiki kwamba wachezaji wote wanapenda tovuti inayotoa odds bora zaidi.


Njia za Malipo

Siku zote chagua tovuti ambayo ina toa njia nyingi za kufanya malipo, haraka na inayopatikana kwa urahisi


Huduma kwa Wateja

Huduma kwa wateja kwa biashara ya kubeti mtandaoni ni muhimu sana.


Ofa Zinazotolewa

Kitu kingine cha kuwekea mkazo ni kuangalia aina za promosheni zinazotolewa na kampuni fulani, bonasi au aina yoyote ya ofa inayotolewa na tovuti hio. 


Handicap

Handicap ni aina ya soko la kubeti ambalo kampuni hutoa hasara kwa timu inayopendwa au faida kwa timu dhaifu. Inatumika sana katika michezo yenye misingi ya alama kama mpira wa miguu, mpira wa kikapu, na tenisi, na wakati mwingine hutumika katika matukio ya mbio hususani mbio za farasi. Katika mpira wa miguu, handicap uhesabiwa kwa kuongezea au kuondoa magoli kutoka kwa timu ili kuweka nafasi za ushindi kwa timu zote mbili. Kuna aina mbili za uwasilishaji wa handicap ambazo ni handicap ya Ulaya na handicap ya Asia.

Masoko ya handicap hutumika kwa lengo la kujumlisha au kutoa magoli au pointi kwe lengo chanya au hasi / pointi kwa kila upande / mchezaji kulingana na  kila upande au mchezaji itategemea na upande upi unachukuliwa kama timu ngumu (handicap hasi) au timu dhaifu (handicap chanya). 

 

Tuangalie mfano kwenye mpira wa miguu,  AH -1 (handicap ya Asia) tunashinda beti ikiwa timu ambayo tumeweka pesa zetu kwenye mechi itafanikiwa kushinda kwa tofauti ya mabao 2. Ikiwa timu hiyo itafanikiwa kushinda kwa tofauti ya bao moja tunaweza kurudishiwa hisa zetu. Tunapoteza beti ikiwa timu yetu itatoka sare au kupoteza mechi.

Soko la handicap sio la kutumika na kila mtu, ni muhimu kila wakati uhakikishe kuwa unaelewa vizuri kile unachokibetia. Kwa mchezaji mpya inashauriwa kwanza kusoma handicaps, aina na sheria husika za kubeti kwa handicap na jinsi zinavyoathiri odds katika kila soko. Mara tu ukiwa umefanikiwa kuelewa yote hayo, soko la handicap linaweza kuwa chaguzi muhimu linaloweza kukuongezea ushindi au kukupunguzia hasara.


Ubashiri Live

Kuweka beti yako live ndio njia bora na ya hivi karibuni ya michezo ambayo inakupa msisimko  wa kubashiri na fursa zaidi za kutengeneza pesa. Kuweka beti live, wakati mwingine huitwa kucheza wakati wa tukio ni pale ambapo wachezaji huweka bets za ziadi BAADA ya mchezo tayari kuanza. 

Kwa sababu ya mfumo wake, njia hii hutumika sana mtandaoni pekee. Uzuri wa kutumia chaguo la kubeti live ni kwamba hakuna hatari yoyote ya odds kubadilika kabla ya kuweka beti zako, pia kuna aina maalum za beti ambazo zinapatikana tu kwenye kubashiri live na mwisho chaguo la kubashiri live huleta matokeo kwa haraka zaidi na unaweza kupata huduma ya cash out.


Matangazo ya Moja kwa Moja

Utiririshaji wa moja kwa moja ni moja ya sifa kubwa ambayo makampuni ya kubashiri mtandaoni yamewahi kutekelezwa. Matangazo ya moja kwa moja ni matangazo ya matukio ya michezo moja kwa moja ambayo unaweza kutazama kupitia kompyuta yako, au kifaa chochote cha simu. Ni rahisi sana kupata matangazo ya moja kwa moja ya michezo kwani unachohitaji kwanza, kuwa na akaunti inayotumika na kampuni inayotoa matangazo haya ya moja kwa moja, huduma nzuri ya mtandao ni muhimu kwa utiririshaji wenye picha nzuri.

Utiririshaji wa moja kwa moja unaweza kuwa na faida kadhaa ikiwa ni pamoja na:

 

  • Ni bure – endapo tu una akaunti inayofanya kazi na kampuni ya kubahatisha mtandaoni unaweza kupata matukio moja kwa moja hata bila kuweka beti.
  • Utiririshaji wa moja kwa moja hukuruhusu kuweka beti za live  wakati unatizama tukio. Hakuna kitu kinafurahisha kama kuweka beti yako na kutazama matokeo yako kutokea  na bado kuwa na uwezo wakutengeneza beti zingine zaidi kulingana na jinsi tukio linaendelea.

Tumia Livescore

Kwa wachezaji wote ambao hufurahiya kubashiri kwenye michezo, kufuata alama za matokeo moja kwa moja ni muhimu katika ulimwengu wa leo. Hivi karibuni imekuwa rahisi kupata maelezo kamili juu ya kila aina ya michezo bila usumbufu wowote. Kwa wapenzi wa kubeti michezo ni muhimu kupata takwimu sahihi kwa sababu itawasaidia kuamua ni timu gani zenye nguvu zaidi, timu za kuwekea ushindi au masoko mazuri.

Pia alama za matokeo moja kwa moja husaidia washiriki wa michezo kupata matokeo yote moja kwa moja wakati ambapo hawawezi kutazama mchezo kwenye Televisheni zao na kadhalika. Faida muhimu na ya mwisho ya kutazama alama za moja kwa moja ni inaokoa muda.


Cash Out

Chaguo la cash out imekuwa kitu maarufu kwenye kubashiri michezo ulimwenguni kote. Huduma hii Inatolewa na makampuni mengi ya kubashiri mtandaoni, chaguo la cash out huruhusu wachezaji kulipwa beti zao kabla matokeo ya tukio kukamilishwa.

Kutokana na uwezekano wa bet yako, mchezaji anaweza kuamua kuchukua sehemu ndogo ya malipo ikiwa beti inafanya vizuri lakini haionekani kukamilika kwa kushinda. Cha kusikitisha ni kwamba utarudisha kiasi kidogo kulingana na amana yako uliyoweka mara ya kwanza lakini ukweli ni kwamba ni bora kuliko kupoteza amana yote.

Jambo la muhimu zaidi ni wachezaji wanashauriwa kuzingatia kwamba makampuni ya kubashiri  tofauti wanaweza kuwa na sheria tofauti kwenye chaguo la cash out. Ni vizuri kuelewa wazi vifungu na masharti na beti zipi hutumika kwa chaguo la cash out.


Aplikesheni ya Android

Kubeti kwa njia ya aplikesheni ya simu za mkononi inasemekana kuwa mustakabali wa kamari za mtandaoni. Programu ya kubashiri kwa simu ya mkononi na programu ya Android inawapa wachezaji fursa ya kufikia matukio yote ya michezo ndani na nje ya nchi, sahihisho za michezo, beti za moja kwa moja na masoko yote ya kubashiri michezo yanayopatikana katika programu maalum ya aplikesheni ya android. Wachezaji wanaweza kutarajia kila kitu ambacho ulimwengu wa kubashiri michezo kwa njia ya simu hupatikana kupitia Android.

Kwa kuongezea, aplikesheni ya simu ya mokononi ya Android huruhusu wachezaji kuweka arifu juu ya matukio muhimu za michezo yanayokuja, au wakati timu zao wanazozipenda zinakaribia kuanza, na mwisho,  Unaweza kupata matangazo ya moja kwa moja ukitumia aplikesheni ya simu ya mkononi ya Android.


Jackpot

Baadhi ya makampuni makubwa mtandaoni wanatoa jackpot kwa wachezaji wao kama promosheni maalumu ya kubeti kwenye michezo. Mtiririko ni kama ifuatavyo, wachezaji wanapimwa kutabiri matokeo sahihi kutoka kwa idadi fulani ya mechi kwenye kuponi moja. Idadi ya mechi kawaida huanzia mechi 10-15 na zote zimechaguliwa na mmiliki wa kampuni. Ikiwa una bahati ya kutabiri matokeo yote kwa usahihi unapata kushinda tuzo.

Ushiriki katika aina hii ya promosheni  unatumika kwa wachezaji wote lakini kwanza unahitaji kujiunga na jukwaa la kubeti na kampuni ya kubashiri.

 


Tengeneza Beti Yako

Jenga Bet yako ni sehemu ambayo inaruhusu wachezaji kujenga beti zao kwenye soko la mpira wa miguu. Wazo hili ni rahisi; unaunda tu beki zako mwenyewe, na idadi ya michezo na masoko uliyochagua. Kipengele hicho kinapatikana zaidi kwenye kubashiri mpira wa miguu, ni haraka, na rahisi kutumia. Idadi ya mechi zinazotumiwa kawaida ni hadi mechi sita za kabla, baada ya uteuzi wako, unaziongeza na kipengele cha utengenezaji wa beti itahesabu odds moja kwa moja.

Wachezaji wanaruhusiwa kuchagua idadi kubwa ya chaguzi tofauti za kubeti na mara nyingi hujumuisha Idadi ya magoli, matokeo ya mechi (kipindi cha kwanza na mechi nzima) wafungaji ( wa kwanza, wa mwisho, wakati wowote na magoli kadhaa), Timu zote mbili kufunga, kona na jumla ya kadi. 


Hitimisho- Tengeneza Safari Yako Ya Ubashiri Kuwa Bora Zaidi

Tumejaribu kukueleza na kukupa taarifa kamili katika makala moja, ni nafasi yako sasa kufanya ubashiri wako kuwa bora zaidi. Tumekuwekea mtiririko kamili kuhusu chaguzi za kubeti na tungeshauri uweke akilini kila kipengele na pia uweze kuchagua tovuti bora ya kubashiri mtandaoni.