Nini Maana ya Jackpot za Kubashiri Michezo?

Jackpot ya kubashiri michezo ni promosheni maalum inayotolewa kwa wachezaji na waendeshaji wakubwa wa tovuti za kubashiri. Wachezaji hupimwa kutabiri matokeo ya mechi nyingi (kawaida mechi 15) kwenye kuponi moja ambapo michezo huchaguliwa na kampuni ya kubashiri. Jackpot za kubashiri michezo ni sehemu ya jukwaa maalum ambalo asilimia fulani ya pesa unayo beti huenda kwenye jukwaa kwa hivyo kuifanya kuwa jackpot endelevu.

Nawezaje Kushiriki Kwenye Jackpot za Kubashiri Michezo

Ushiriki wa wachezaji kwenye jackpots za kubashiri michezo inawahitaji wajiunge na jukwa na tovuti ya michezo ambayo wana akaunti nao. Baada ya kujiunga na jukwaa la kubashiri sasa utashindana na wachezaji wengine kutabiri matokeo sahihi kwenye mechi zilizochaguliwa. Jukwa la kubashiri linapatikana kwenye upande wa promosheni kwenye tovuti, utakubali  kushiriki kwenye jackpot na uanze utabiri wako. 


Nini Maana ya Jukwaa la Kubashiri?

Ni mfumo wa kamari ambapo kikundi cha watu hujiunga na vikosi na kulipa bei iliyowekwa ili kuingia kwenye jukwa na kufanya uchaguzi juu ya matokeo ambayo hufanyika sana kwenye michezo. Mara tu mechi zikikamilika, wale ambao wamefanya utabiri sahihi hugawana sehemu sawa tuzo iliyopo. Mojawapo ya faida kuu ya jukwaa la ubashiri ni kwamba wachezaji wanapata nafasi ya kushinda tuzo kubwa kwa kuwekeza pesa kidogo sana.

1 × 2-  Kutabiri matokeo halisi ya mechi zilizowekwa

Alama Sahihi – Ubashiri juu ya alama halisi ya magoli

Asian Handicap – Chagua alama sahihi ya mwisho itakayoendana na Asian Handicap kwa mechi zilizowekwa

Juu / Chini ya – Ubashiri wa jumla ya magoli kuwa juu au chini ya idadi maalum (kawaida magoli huwa  2.5 kwa mechi nzima)

Timu zote mbili kupata alama – Chagua “Ndio” au “Hapana” kwa timu zote kupata alama


Jukwaa La Kubashiri Linafanyaje Kazi?

Mfano: WinPrincess: 1×2- Chaguzi 5 kwa Tsh 5,000,000

Huddersfield vs Aberdeen

Boavista vs Benfica

Rangers vs Nk Osijek

Dinamo Zagreb vs Shakhtar

Leeds vs Derby

Kwenye mfano hapo juu, WinPrincess, utahitaji kuchagua 1×2 kwa mechi zote zilizowekwa. Kama utabahatika kufanya ubashiri sahihi utaweza kujishindia Tsh 5,000,000. Ikiwa imetokea umebashiri mechi 4 sahihi kati ya mechi 5 utajishindia tuzo ya kujaribu. 

Tuzo ya kujaribu ni pale ambapo mfano; kwenye jukwaa flani la kubashiri, umebashiri matokeo halisi lakini sio alama sahihi, mfano Barcelona ashinde mchezo kwa 1-0 na mwisho wa mechi alama zilikua 2-0 kwa Barcelona, hapa mwendeshaji wa tovuti atakuzawadia tuzo ya kujaribu. 


Nawezaje Kushinda Jackpot ya Kubashiri Michezo?

Njia pekee ya kushinda tuzo ya jackpot ya kubashiri ni ikiwa utatabiri matokeo sahihi ya mechi 13-15 zilizochaguliwa kwenye kuponi moja. Kiasi cha mechi kawaida hutofautiana kutoka kwa waendeshaji tofauti. Baada ya kumaliza kufanya ubashiri wako na ukawa sahihi utapata nafasi ya kulipwa kiasi kizuri cha pesa taslim.

Endapo hautakuwa sahihi kwenye baadhi ya mechi na ukafanya ubashiri tofauti, hautakiwi kuwa na wasiwasi kwani bado una nafasi ya kushinda kiasi kidogo cha pesa. Mara nyingi waendeshaji wa tovuti hutoa tuzo ya kujaribu kwa wachezaji ambao hawa kubahatika. Kwa mechi ulizobashiri sahihi, utapewa kiwango fulani cha odds kwa kila mechi uliyoweza kufanya ubashiri mzuri na hautaondoka mikono mitupu kwenye jukwaa hilo. 


Je! Naweza Kutoa Pesa za Ushindi wa Jackpot?

Ndio Inawezekana! Muda wowote unaweza kutoa pesa zako za ushindi wa jackpot bila masharti yoyote ya kuhitajika kuweka beti na pesa hio. Sio sawa kisheria mwendeshaji yoyote wa tovuti kukutaka kufanya chochote ili uweze kupata pesa yako, una haki zote kulipwa kiasi chote cha pesa. Lakini kwa sababu ni kiasi kikubwa cha pesa, mwendeshaji wa tovuti anaweza kuingia makubaliano na wewe kuhusiana njia za malipo ya pesa hizo.