Maana ya Beti za Bure na Jinsi Zinavyotumika.

Beti ya bure ni bonasi yenye thamani fulani wanayopewa wachezaji kutumiwa kama beti ya mtu binafsi. Kawaida hutolewa kwa wachezaji wapya ambao wamejiandikisha kikamilifu na tovuti ya kubashiri ili kutowapoteza kwenye kampuni. Beti za bure huwapa wachezaji wa michezo ya kubashiri uwezo wa kushinda fursa bila kuhatarisha pesa zao. Walakini, beti za bure kawaida huja na vigezo na masharti madhubuti ambayo lazima yaeleweke ipasavyo.

Aina ya Beti Za Bure

 • Hupewa kwa mteja mpya baada ya kujisajili na tovuti ya kubashiri na kuweka amana ya kwanza.

 • Beti bila hasara inaweza kuwa ofa ya kukaribisha au motisha ya uaminifu ambapo wachezaji wako huru bila kuhatarisha pesa zao wenyewe na kuweka beti kwa kutumia beti za bure zilizotolewa na mwendeshaji wa tovuti ya michezo.

 • Wateja wanapata nafasi ya kufurahia beti za bure bila kuhitajika kuweka amana yoyote. Beti za bure bila amana yoyote mara nyingi huja na vigezo na masharti madhubuti na huwa sio kiasi kikubwa sana. 

 • Hizi mara nyingi hutolewa kwa wateja ambao akaunti zao zimelala na hawajatembelea tovuti kwa muda mrefu.

 • Programu za uaminifu hurusu wamiliki wa makampuni ya kubashiri kuwa zawadia wateja wao wa kila siku na waaminifu kwao bonasi katika mfumo wa beti za bure.


Je! “Beti za Bure” ni Bure Kweli?

Kama jinsi jina linavyosomeka, beti za bure ni za bure kwel! Na wachezaji hawapaswi kuweka beti na salio lao halisi kwenye akaunti badala yake beti huwekwa kwa kutumia hisa za bure. Walakini, kila wakati kuna gharama inahitajika kwa wachezaji kustahiki kupewa beti za bure zinazotolewa.


Vitu Vya Kuzingatia Unapochagua Beti ya Bure

Kuna baadhi ya vitu wachezaji wanatakiwa kuzingatia hususani vigezo na masharti kabla ya kuamua kuchagua ofa yoyote ya beti za bure.

 • Mzunguko wa Beti

Baadhi ya kampuni za kubashiri zinaweza kuhitaji mteja atengeneze beti za ziada ili kufikia idadi ya kiwango cha kubashiri kabla ya kuweza kutoa salio lolote la ushindi lililotokana na beti ya bure. 

 • Muda wa Ofa

Idadi kubwa ya waendeshaji wa tovuti za michezo huweka muda wa ofa ya beti za bure kumalizika mara nyingi huwa ni siku saba za kutumia kwani baada ya hapo hutolewa. 

 • Salio la Ushindi

Baadhi ya beti za bure kutoka kwenye tovuti za kubashiri tofauti zinaweza kuwa na kiwango cha mwisho cha kiasi gani unaweza kutoa kutokana na ushindi wowote uliopatikana kwenye beti za bure. 

Vitu vingine unavyoweza kuzingatia ni kama: 

 • Kiwango cha chini / cha juu cha mahitaji ya Odds
 • Kiwango cha chini cha amana
 • Ni aina gani ya beti zinakubalika kwa ofa hio (beti moja / beti mchanganyiko)
 • Ni aina gani ya michezo, matukio au masoko unaweza kutumia beti hio ya bure?

 

 

 


Faida za Beti za Bure

Beti za bure ni beti zisizo na hasara ambazo zinampatia mteja fursa zaidi ya kushinda kutokana na kutengeneza beti za ziada kwa hisa ya bure. 


Hasara za Beti za Bure

Hata kama hufurahiwa sana na wachezaji, beti za bure huja na hasara zake pia:

 • Kizuizi kwenye masoko na aina ya beti unazoweza kuweka
 • Vigezo na masharti ya beti za bure mara nyingi huwa hayaeleweki
 • Mahitaji ya ubashiri yanaweza kuwa magumu kutimiza
 • Ofa za beti za bure zinaweza kukushawishi kucheza kamari hata kama sio mchezaji wa kila siku. 

Nukushi Kuhusu Beti Za Bure

 • Itategemea na tovuti gani unatumia, mchezaji ana stahiki beti moja ya bure kwani una kikomo cha kuwa na akaunti moja tu katika kila tovuti lakini hakuna kikomo cha akaunti ngapi za kubashiri unaweza kuwa nazo.

 • Hautaweza kutoa beti ya bure au salio la bonasi ya beti ya bure kama fedha halisi lakini unaweza kutoa fedha zako za ushindi uliotokana na beti ya bure.

 • Beti iliyowekwa kwa kutumia beti za bure haitaweza kufanyiwa cash out mwanzo wa tukio au wakati tukio likiendelea.

 • Beti yako ya bure mara nyingi inapatikana mara baada ya kuweka amana yako ya kwanza au baada ya kukamilisha mahitaji ya kupata ofa hio ya beti za bure.