Bonasi za Kubashiri Tanzania 2020

Moja ya utamaduni wa wachezaji wa michezo ya kubashiri mtandaonii ni kuwa na akaunti na tovuti ambayo hutoa idadi kubwa ya bonasi za kubashiri. Leo, tasnia ya ubashiri mtandaoni imekuwa biashara yenye ushindani na waendeshaji wa tovuti wanajitahidi kutoa aina tofauti za bonasi za kubashiri ili kujaribu kushawishi wateja wapya kujisajili na kutunza wateja waliopo pia. Waendeshaji wa tovuti wanaamini kuwa kwa kutoa bonasi za kubashiri, hukuleta karibu na kukufanya utumie pesa kwenye tovuti yao.

Bookmaker Bonus Amount
1
Bonus
Welcome Bonus
Amount
%100 UP TO Tsh 100,000
Bonus amount must be wagered 10 times in accumulator bets. Each accumulator bet must contain at least 2 events within each accumulator must have odds of 1.50 or higher. Start dates of all events should not be later than the validity period of this offer.
2
Bonus
Loyalty Bonus
Amount
%10 UPTO Tsh 22,000
Qualifying bets must have minimum odds of 2.00, if placing a combination bet, the total odds must be equal to or greater than 2.00, or on Virtual sports
3
Bonus
Jackpot
Amount
TZS 247,417,220
To win the jackpot the punter must accurately predict the correct results from 13 matches, with a home win, draw and away win the three scenarios for each game.
4
Bonus
Loyalty Bonus
Amount
Tsh 500
Loyalty Bonus Get 500.00 Tsh for every 5 tickets and 5,000.00 Tsh you play with us. Your bonus is waiting. ... Play 5 tickets and 5,000.00 Tsh. You get the Bonus.
5
Bonus
Jackpot
Amount
Tsh 100,000,000
The jackpot matches are taken from football contests across the world, but the weekend 13-game jackpot is mostly taken from the English Leagues, especially the Championship games.

Nini Maana ya Bonasi za Kubashiri?

Bonasi za kubashiri ni kiasi fulani ambacho muendeshaji wa tovuti huongeza kwenye akaunti za wateja baada ya amana zao za kwanza. Hii inamaanisha kwamba mwendeshaji wa tovuti anakupa fursa ya kuweka pesa zaidi katika beti yako ya kwanza bila kutumia pesa yako mwenyewe.


Aina Tofauti za Bonasi za Kubashiri Michezo

Bonasi za kubashiri michezo zinaweza kuja kwa mifumo tofauti na pia hutofautiana kwenye kila tovuti. Zifuatazo ni bonasi maarufu zinazotolewa zaidi na waendeshaji wa tovuti mtandaoni.


Amana Bonasi

Inawezekana kuwa ni bonasi maarufu zaidi ya kubashiri michezo kutoka kwa waendeshaji wa tovuti mtandaoni, wakati mwingine huitwa ( amana match). Amana bonasi ni bonasi ambayo inahitaji mteja kufanya amana ya kwanza baada ya mchakato wa usajili kukamilika ili kudai bonasi yako kwa njia ya beti ya ziada. Bonasi ya amana inaweza kuanzia 25% hadi 100% na zaidi kwa baadhi ya tovuti Mfano, mwendeshajii wako hutoa bonasi ya amana kwa 100% kwa hivyo ikiwa umeweka Tsh 10,000 utapata bonasi ya amana ya Tsh 10,000.


Beti za Bure

Aina maarufu inayotolewa kwa wateja wapya ambapo mwendeshaji wa tovuti anakupa hisa ya bure ya kuweka beti. Kawaida huja na vigezo vya kubashiri ambavyo vinaweza kujumuisha kubashiri na kiasi chochote ulichoshinda kutoka kwenye beti za bure mara kadhaa kabla ya kuweza kutoa malipo yako. Kigezo kikubwa kinachotumiwa  kwenye beti za bure ni ubashiri kwenye kiwango cha chini cha odds kilichowekwa na mwendeshaji wa tovuti.

Mfano:

  • Ulipewa bet ya bure yenye thamani ya Tsh 10,000 baada ya kujiandikisha kama mteja mpya.
  • Kiwango cha chini cha odd kwa beti ya bure ni 2.0 kwenye mechi ya mpira wa miguu.
  • Beti  yako inashinda: Tsh 10,000 kwa odd ya 2.0 = Tsh 20000 kuondoa hisa halisi Tsh (10,000)
  • Utajishindaa Tsh 10,000.

Beti Bila Hasara

Beti bila hasara ni aina ya beti ya bure ambapo mwendeshaji anaahidi kukurudishia hisa yako (kama utapoteza) mpaka kiasi fulani. Hata hivyo, mchezaji anatakiwa kukidhi vigezo fulani kabla ya kuweza kutoa kiasi chochote cha ushindi endapo beti yake itafanikiwa. 


Bonasi Bila Amana

Bonasi isiyo na amana inamaanisha pesa za bure. Wateja wapya waliosajiliwa hupewa beti za bure bila kuweka chochote kwenye akaunti zao. Bonasi isiyo na amana huwa ya kiasi kidogo na kama bonasi zingine, unaweza kuhitajika kukidhi masharti fulani ili kuweza kutoa kiasi chochote endapo utashinda.


Jaza Bonasi

Bonasi za kujaziwa akaunti ni sawa kidogo na amana bonasi lakini kwa tofauti mbili:

Kawaida ni kwa wateja waliopo badala ya wateja wapya na huwa haziko juu sana kuliko bonasi za amana (sio 100% kabisa)


Kwanini Waendeshaji wa Tovuti Hutoa Bonasi za Kubashiri?

Wachezaji wengi wanaweza kuwa wanajiuliza kwanini waendeshaji wanatoa  pesa za bure na vitu vingine vya bure na inaweza kuonekana kuwa ni rahisi sana lakini kwa njia moja au nyingine waendeshaji huwa na sababu nzuri na za ukweli za kwanini hutoa bonasi kwa wateja wao. Zifuatazo ni sababu kuu tatu:

  • Kuvutua Wateja Wapya

Kwa mfano karibu bonasi ni ya kukuvutia ili kwanza ujiunge na tovuti ya michezo, utaweka amana kwa sababu unajua itaongeza salio lako mara mbili. Baada ya hapo unaweza kuzawadiwa beti za bure ambazo zitakupa nafasi nyingine ya kuweka beti za ziada na mwisho utakua na amani kwa sababu hauna chochote cha kupoteza.

  • Kurudisha Wateja wa Zamani

Waendeshaji wa tovuti za michezo mara nyingine hutumia bonasi za kubashiri kurudisha wateja ambao hawajatembelea tovuti kwa muda mrefu. Mfano, wanaweza kutumia jazia bonasi kumfanya mchezaji aweke amana ingine na kurudisha akaunti zao zilizosimama.

  • Kutowapoteza Wachezaji Waliopo

Hapa mwendeshaji wa tovuti hutoa ofa kwa wachezaji waliopo kama kurudishiwa pesa, kuwa na programu za uaminifu kwa wateja wao wa kila siku, kitu cha kuwafanya watembelee tovuti mara kwa mara. 


Vitu Gani vya Kuangalia kwenye Bonasi za Kubashiri Michezo?

Kama tujuavyo, hakuna kitu kinachokuja bure. Hii inatumika pia kwenye bonasi za michezo ya kubashiri mtandaoni ambapo kwa ofa yoyote itakayotolewa lazima kuwe na sheria na masharti fulani. Hapo chini kuna orodha ya mahitaji ya msingi ya kuzingatia kabla ya kutumia bonasi za kubashiri michezo.


Aina na Kiasi cha Bonasi

Wachezaji wengi wana uwezekano wa kwenda kupata bonasi zenye viwango vya juu lakini pia ni vizuri kukumbuka kuwa kwa kiwango cha juu zaidi vigezo na masharti yatakayowekwa na mwendeshaji huwa ni magumu zaidi. 


Mahitaji ya Ubashiri

Bonasi nyingi za michezo ya kubashiri mtandaoni hutolewa na mahitaji maalum ya kubashiri. Mfano mzuri ni beti ya bure ambapo wachezaji hupewa dhamana ya bure ya hisa na inahitajika kucheza kiasi chote, na endapo kutakua na ushindi wowote kuna sheria fulani kabla ya kuweza kutoa pesa.


Masharti ya Odds

Masharti ya odds hutumiwa sana kwenye bonasi ya beti za bure ambapo wachezaji wanaweza tu kuhitimu kutimiza mahitaji ya kubashiri kwa kuweka beti na odds iliyowekwa na mwendeshaji wa tovuti.


Muda wa Bonasi

Bonasi za kubashiri michezo mtandaoni mara nyingi huja na kipindi cha uhalali ambapo wachezaji wana uwezo wa kutumia bonasi hio kwa kipindi maalum. Hii  inamaanisha kwamba wachezaji wanakuwa na wakati mdogo wa kutumia faida za bonasi wanazopewa.


Neno Siri la Bonasi

Unaweza kuona kwenye tovuti fulani kwamba baadhi ya bonasi zitahitaji mchezaji kuingiza neno la siri. Mfano bet ya bure au karibu bonasi kawaida hupewa neno la siri ambayo utaingiza baada ya amana yako ya kwanza au baada ya kufanya amana za ziada. Hivi karibuni, bonasi zenye neno la siri hazitumiwi mara kwa mara na waendeshaji wa tovuti mtandaoni, haswa tovuti mpya za kubashiri.


Bonasi za Aplikesheni ya Simu

Baadhi ya waendeshaji huwa na aina tofauti za bonasi kwa wachezaji ambao wamesajili akaunti zao za kubashiri kupitia vifaa vya simu. Hii kawaida hufanywa ili kuvutia wachezaji wanaobashiri kupitia simu zao za mkononi, kuwapa promosheni bora zaidi na hivyo wachezaji wanaweza kutumia faida hii.


Bonasi Gani ya Kubashiri Bora Zaidi?

Hili limekuwa swali linaloulizwa na wachezaji wengi lakini cha kusikitisha hatuna jibu dhahiri. Tunachoweza kusema ni kwamba bonasi bora ya kubashiri michezo ni ile inayoonekana kuwa ya thamani kwako, ile inayolingana na mtindo wako wa kubashiri kama mchezaji binafsi. Kwa mfano ikiwa mtindo wako wa kubashiri ni aina moja ya uteuzi, basi beti za bila hasara ni chaguo bora kwako lakini ikiwa wewe ni mchezaji wa kusanyiko, unaweza kutaka kwenda kwa bonasi za amana match. Kwa kuongezea, bonasi bora zaidi ya kubashiri ni ile ambayo wewe kama mchezaji unaweza kutosheleza mahitaji yake yote ya ubashiri.

 


Nini Tofauti kati ya Bonasi za Kubashiri na Beti za Bure?

Kunaweza kuwa na tofauti kidogo kati ya bonasi ya kubashiri na beti ya bure lakini kufanana kwao ni kwamba zote hutolewa kwani mwendeshaji wa tovuti anampa mchezaji kiasi cha pesa kitakacho tumika kwenye tovuti yao ya michezo. Tofauti inakuwa kama ifuatavyo:

Kwa bonasi ya kubashiri, mchezaji ana uhuru wa kutumia bonasi yake jinsi atakavyo mfano; unapewa bonasi ya kubashiri ya Tsh 100,000 hapa unaweza kuamua kuicheza yote kwa wakati mmoja au kuweka beti tofauti mfano beti 2 tofauti kwa hisa ya Tsh 50,000 kila mmoja au kuweka kuponi 4 kwa Tsh 25,000 kila moja. Sasa kwa bet ya bure, waendeshaji wengi watakupa tokeni moja ya beti ya bure au idadi ya tokeni ambazo zitakuwa sawa na jumla ya kiasi cha bonasi.


HITIMISHO

Bonasi za kubashiri zinafurahisha kupokea na kutumia kwa sababu zinawapa wachezaji faida na chaguzi nyingi wakati wa kuweka beti lakini tunakushauri sana usikubali kupokea bonasi yoyote bila kuelewa vizuri sheria na masharti, nini utatakiwa kufanya kupata bonasi hio mwisho wa siku. Waendeshaji wengine wanaweza kuweka sheria kali kwenye vigezo na masharti vya bonasi na kujikuta umekwama milele na tovuti ukijaribu kurudisha kiwango cha bonasi bila kuwa na uwezo wa kufurahia ushindi wako.


Nukushi Kuhusu Bonasi za Kubashiri

  • Waendeshaji wa tovuti mara nyingi huweka kiwango cha chini na cha juu cha odds kwa sababu wanajaribu kuepuka hali ya wao kutoa hela za bure kwahivyo kunatakiwa kuwe na mahitaji ambayo yatawapunguzia hasara.

  • Hii inaweza kuwa kwa sababu mbili, kampuni zingine za kubashiri hutoa bonasi kwa matukio maalum, kwa mfano Kombe la Dunia, kwa sababu hii tarehe ya kumalizika kwa muda wa bonasi lazima iwekwe kwa vile ilidhamiriwa tu kuwa halali wakati wa kipindi cha Kombe la Dunia. Sababu nyingine inaweza kuwa kampuni za kubashiri hazitaki wachezaji kushikilia bonasi mpaka matukio fulani ya kupendeza yanapotokea na kutumia beti za bure. Wazo ni kwa wachezaji kutumia bonasi na na papo hapo kuanza kutumia fedha zao halisi.

  • Hapana, kwa kawaida sio kampuni zote za kubashiri hutoa bonasi hata hivyo idadi kubwa ya tovuti za kubashiri mtandaoni hutoa bonasi ya aina fulani. Wengine wanaweza wasiiweke moja kwa moja kama bonasi ya kubashiri lakini badala yake wanaweza kuitoa kwa mfumo wa odds bora au mistari inayofaa.